Contact us!

Ndugu watendakazi, shalom saccos Limited ni mali yetu wote kama watendakazi. Jiunge sasa na kuwa Mmiliki wa shalom saccos Limited. Kiingilio ni Tshs.30,000/= Fomu ya kujiunga Tshs.5,000/= Masharti Tshs.5,000/= Ada ya Uanachama Tshs.5,000/= Wahi hujachelewa bado tunahitaji wanachama. Akaunti ya saccos ni 50610009672 (NMB) Jina: Shalom saccos Limited.

About

Comments are closed.