Kichwa cha barua hapo juu kinahusika. Ndugu mpendwa katika Bwana, tunakuomba ujali sana muda huo wa kikao kwani mambo ni Mengi. Agenda za kikao ni kama ifuatavyo:- 1. Kuandaa Mkutano mkuu wa wanachama 2021 2. Kukamilisha taarifa ya fedha ya mwaka 2020. 3. Kupitia taarifa…
Ndugu wanachama wa shalom saccos Limited, napenda kuwafahamisha kuwa tarehe 20.06.2020 tulikuwa na kikao cha bodi kuhusu usajili wa shalom saccos Limited BOT chini ya Tume ya maendeleo ya ushirika TCDC. Katika kikao hicho tulijadiliana mambo mbali mbali. Katika kikao hicho tulikubaliana kuwa na mkutano…